ramadhan karim

subira ya vuta heri

Saturday, August 13, 2011

human chip hii techonolgy inapoelekea sasa.........!!!!!!

kila siku watu wanaumiza vichwa na kufikiria juu ya hii technology.....!!!!
na sasa kuna hii technology ya human chip yaan binadam anakua ana-chip ndani ya mwili wake ambayo itakua wameistall information zake zote

hapo sasa technology hiyo every thing is possible...!!!!au??

No comments:

Post a Comment