ramadhan karim

subira ya vuta heri

Saturday, August 13, 2011

human chip hii techonolgy inapoelekea sasa.........!!!!!!

kila siku watu wanaumiza vichwa na kufikiria juu ya hii technology.....!!!!
na sasa kuna hii technology ya human chip yaan binadam anakua ana-chip ndani ya mwili wake ambayo itakua wameistall information zake zote

hapo sasa technology hiyo every thing is possible...!!!!au??

Saturday, August 6, 2011

mapenzi matam ila sometime........!!!!!

inabidi kuwekeana mipaka mpaka mpokua mmelala.......!!!
kuachana hamuwezi but chamoto unakipata...!!

Friday, August 5, 2011

ramadhani kaarim


tujitahid kufunga na kuswali katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani kwani huja mara moja kwa mwaka mzima!

natural alway is beatifully






sehemu za pwani mara nyingi hua zinavulia kimadhal na hata hali yake ya hewa